Rais
Jakaya Kikwete (wa nne kulia), Makamu wa Rais Dk. Mohammed Gharib Bilal
(kulia kwake) na Waziri Mkuu Mizengo Pinda (Kushoto kwake) wakiwa
kwenye picha ya pamoja na manaibu makatibu wakuu wa wizara mbalimbali.
Walipiga picha hiyo baada ya Rais kuwaapisha watendaji hao wa wizara
Ikulu, Dar es Salaam. (Picha na Fadhili akida).
Imetayarishwa na:
Imewekwa tarehe: 1st May 2011 @ 08:24
No comments:
Post a Comment