Wednesday, May 11, 2011

mrema yumo naye

Mwenyekiti wa chama cha Tanzania Labour (TLP), Augustino Mrema ambaye pia ni Mbunge wa Vunjo, akihutubia wananchi wa Manispaa ya Morogoro kwenye viwanja vya Fire mjini humo, wakati wa mkutano kujadili amani na kuienzi ulioandaliwa na uongozi wa taasisi ya  Alshabab Islamic Daawah ya  Morogoro. (Picha na John Nditi). Mwenyekiti wa chama cha Tanzania Labour (TLP), Augustino Mrema ambaye pia ni Mbunge wa Vunjo, akihutubia wananchi wa Manispaa ya Morogoro kwenye viwanja vya Fire mjini humo, wakati wa mkutano kujadili amani na kuienzi ulioandaliwa na uongozi wa taasisi ya Alshabab Islamic Daawah ya Morogoro.

No comments: