Wednesday, May 11, 2011

Kikwete na Maofisa leo

Image Rais Jakaya Kikwete akizungumza na maofisa kutoka Benki ya Dunia (WB) na Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF) waliowasilisha mada mbalimbali katika semina elekezi inayohudhuriwa na mawaziri, manaibu mawaziri, makatibu wakuu, na maofisa wengine waandamizi serikalini nje kidogo ya mji wa Dodoma. (Picha na Freddy Maro).

No comments: