Wednesday, August 10, 2011

watoto wanafanya ni kitanda

jamani na kamari pia?
Eneo hili limekuwa ni aibu kusema ukweli, hivi tunaweza kujivunia eti jiji letu. Hata kasehemu kadogo kama Moshi kwa usafi. Naomba serikali ichukue hatua kwa hawa wanaofanya uharibifu huu, wageni wanakuja na hapa ni sehemu ambayo kila mgeni akija atataka afike lakini cha kushangaza makutano haya ni machafu saa mbovu, jamani tuige mifanoooooooooooooooo!!!!!

kaka akitaabika na galoni lke la lita tano
 


Wananchi wakiwa katika foleni wakisubiri kununua mafuta katika moja ya vituo vinavyouza nishati hiyo jijini Dar es Salaam.(Picha na Evance Ng'ingo).